Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa Afrika wamekutana nchini Kenya kwa mkutano wa kilele wa Africa / Matumaini ya makubaliano ya amani kuhusu vita vya Iran yamefifia baada ya rais wa Marekani Donald Trump kusema usitishaji mapigano na Iran unapumulia kwenye mashine