11.10.2019 Matangazo Ya Jioni | Media Center | DW | 11.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

11.10.2019 Matangazo Ya Jioni

Wakaazi wa Ethiopia wanazungumzia furaha na fakhari yao kwa waziri mkuu wao Abiy Ahmed kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobel//Miili ya Mariam Kigenda na mwanawe Amanda Mutheu wa miaka minne hatimaye imetolewa ndani ya kivuko cha likoni,Kenya baada ya gari lao kuzama mnamo Septemba 29

Sikiliza sauti 60:00