Erdogan atishia kuwaachilia wakimbizi wa Syria Kuingia Ulaya//Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Wayahudi havina nafasi nchini Ujerumani, na kutaka nyenzo zote za dola zitumiwe kupambana na ghasia na uhasama