1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2020 Matangazo Ya Asubuhi

TSA / S08S10 Juni 2020

Tunaanza na msiba mkubwa unaoikumba Burundi, kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, kilichotangazwa na serikali ya nchi hiyo jana jioni//Tahadhari imetolewa kwenye baadhi ya maeneo ya bonde la ufa nchini Kenya, serikali ikiamuru kusitishwa kwa miradi yote ya ujenzi

https://p.dw.com/p/3dYWx