Jeshi la Mapinduzi la Iran limesema leo kuwa halitokubalia meli yoyote ya mafuta kutoka Mashariki ya Kati kupita katika njia ya Hormuz+++Jumuiya ya Afrika Mashariki inakabiliwa na upungufu mkubwa wa fedha. Ni nchi mbili tu kati ya nane katika jumuiya hiyo ndio zinaelezwa kulipa kikamilifu michango yao ya mwaka.