1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2017: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
9 Julai 2017

Rais wa Shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier azuru mji wa bandari wa Hamburg, Waziri mkuu wa Iraqi Haider al-Abadi atangaza ushindi katika mji uliokombolewa wa Mosul na Ujerumani yaanza kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kambi ya kijeshi iliyopo Uturuki ya Incirlik, ambako walikuwa wakisaidia operesheni za kimataifa dhidi ya IS

https://p.dw.com/p/2gETv