1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.03.2026 Matangazo ya Jioni

DIRA.BZ9 Machi 2026

Maelfu ya watu wamemiminika leo katikati mwa mji mkuu wa Iran, Tehran kumuunga mkono kiongozi mpya wa taifa hilo la Kiislamu Ayatollah Mojtaba Khamenei+++Watanzania waliokwama katika eneo la Mashariki ya Kati wamesafirishwa na wamewasili nchini Tanzania+++DRC - Watu mia moja wanahofiwa kufariki baada ya kufukiwa kwenye mgodi wa kuchimba madini ya coltan

https://p.dw.com/p/5A4Sn