1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.03.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Machi 2018

Wakati Siku ya Wanawake Duniani ikiadhimishwa leo tarehe 08 Machi, Shirika la ajira la Umoja wa Mataifa, ILO limeonya kwamba hatua iliyopigwa katika kutoa fursa sawa za ajira kwa watu wa jinsia zote inaelekea kusimama, na pengine kurudi nyuma

https://p.dw.com/p/2txFs