1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.05.2026 Matangazo ya Jioni

DIRA.BZ5 Mei 2026

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Shirika la Afya Duniani, WHO, linasema linachunguza uwezekano wa mlipuko wa virusi vya Hanta kusambaa kutoka mtu hadi mtu / Umoja wa Ulaya na Armenia wamefikia makubaliano yanayolenga kuimarisha ushirikiano

https://p.dw.com/p/5DKIL