Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ustawi wa watoto nchini Tanzania yamelaani vikali kitendo cha mkuu wa mkoa wa Mbeya kuwacharaza viboko hadharani wanafunzi wa sekondari//Polisi wamefyetua risasi dhidi ya kundi dogo la waandamanaji mjini Baghdad