1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Agosti 2018

Vyama vya waandishi wa habari nchini Kenya vimelaani hatua ya spika wa bunge la nchini humo kuwaita waandishi wawili wa habari wa gazeti la The People Daily kuhusiana na ripoti ya ufichuzi wa ufisadi katika kamati za bunge zinazochunguza uovu huo

https://p.dw.com/p/32XuQ