Ziwa Turkana li hatarani - UNESCO | Media Center | DW | 29.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ziwa Turkana li hatarani - UNESCO

Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, limelijumuisha Ziwa Turkana nchini Kenya katika orodha ya turathi za dunia zilizo hatarini. Wataalamu wa shirika hilo wana wasiwasi na athari zitakazosababishwa na bwawa la Ethiopia la tatu la Gibe.

Tazama vidio 00:55
Sasa moja kwa moja
dakika (0)