1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Yennenga: Muhenga wa watu wa Mossi wa Burkina Faso

Yusra Buwayhid
14 Januari 2021

Yennenga hakuwa bintimfalme wa kawaida. Alikuwa ni shujaa wa kivita na mwenye uzowefu mzuri wa kuendesha farasi. Anakumbukwa hadi leo Burkina Faso kutokana na jasiri wake.

https://p.dw.com/p/3ntcy