1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wimbi la joto kali barani Ulaya na maeneo mengine duniani

Sylvia Mwehozi
8 Agosti 2018

Wengi wetu hufurahia jua na kulalamika juu ya mvua. Lakini joto linapokuwa kali, tunaikumbuka mvua. Tangu Juni mwaka huu maeneo kadhaa duniani yamekabiliwa na wimbi la joto kali, ambalo limesababisha maafa makubwa kama vile mioto, kuharibu mazao na vifo. Karibu katika makala ya mtu na mazingira ikisimuliwa naye Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/32nzY