1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Werder wahitaji muujiza kubaki Bundesliga

Josephat Charo Nyiro22 Juni 2020

Werder Bremen ilipoteza mechi yake na Mainz Jumamosi iliyopita huku mechi zote za mzunguko wa 33 zikichezwa wakati mmoja. Kocha Florian Kohlfeldt anakabiliwa na kibarua kigumu kuikoa Bremen isishuke daraja.

https://p.dw.com/p/3eACy