Waziri Mkuu Sudan asema hakuna atakaekwepa mkono wa sheria | Media Center | DW | 19.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waziri Mkuu Sudan asema hakuna atakaekwepa mkono wa sheria

Katika mahojiano na mwandishi wa DW Aya Ibrahim, waziri mkuu wa serikali ya mpito nchini Sudan Abdalla Hamdok amesema watu wote walioshiriki vitendo vya uhalifu wakati wa utawala uliopita watashtakiwa. Pia anazungumzia uhusiano kati ya raia na wanajeshi katika serikali yake.

Tazama vidio 01:03