Watu wasiokuwa na uraia Burundi | Masuala ya Jamii | DW | 07.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Watu wasiokuwa na uraia Burundi

Ni wazaliwa wa Burundi, lakini wana asili ya Omani. Kwa kuwa hawajatambuliwa kama raia nchini Burundi, wamekuwa wakiomba uraia wa Omani. Je juhudi zao zimefikia wapi. Amida Issa anasimulia zaidi kwenye Makala ya Mbiu ya Mnyonge

Sikiliza sauti 09:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)