1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wa Rohingya wanakabiliwa na taabu makambini

Sylvia Mwehozi
23 Agosti 2018

Ni mwaka mmoja tangu wakimbizi 700,000 wa Rohingya walipokimbia ukandamizaji wa vikosi vya usalama vya Mynamar katika jimbo la Rakhine. Watoto nusu milioni walioko katika makambi bado wanakabiliwa na madhila mbalimbali. Papo kwa Papo 23.08.2018.

https://p.dw.com/p/33dYx