1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto takribani 3000 hukimbia mapigano kila siku mjini Hodeida

Sylvia Mwehozi
2 Agosti 2018

Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema takriban watoto 3,000 hukimbia kila siku kutoka kwenye mji wa bandari wa Hodeida, wakati mapigano yakishika kasi. Papo kwa Papo 02.08.2018.

https://p.dw.com/p/32WX9