1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasemaje kuhusu mke kumzidi mume wake umri?

Bruce Amani 28 Mei 2018

Mwanamfalme Harry wa Uingereza na aliyekuwa mcheza filamu wa Marekani Meghan Markle walifunga ndoa katika sherehe ya harusi iliyohudhuriwa na mastaa wakubwa katika Ngome ya Windsori. Lakini katika msisimko wote, kulikuwa na gumzo mitandaoni kuhusu suala la pengo la miaka mitatu la umri wa wanandoa hao. Kwamba bi harusi alimzidi bwana harusi kiumri.

https://p.dw.com/p/2yS6B