Wanawake wanaweza: Mwenyekiti wa kata ya Enguserosambu wilaya ya Ngorongoro | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanawake wanaweza: Mwenyekiti wa kata ya Enguserosambu wilaya ya Ngorongoro

Nani kasema wanawake hawawezi? Kutana na mwanamke wa kimaasai Noorkiyengop Mbama ambaye ni Mwenyekiti wa kata ya Enguserosambu wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha kaskazini mwa Tanzania. Mbama ni mwanamke wa kwanza kuiongoza kata hiyo ya Enguserosambu.

Tazama vidio 02:59