Wakimbizi wakwama katika kambi ya Calais | Matukio ya Afrika | DW | 10.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wakimbizi wakwama katika kambi ya Calais

Italia inakabiliwa na mzigo mzito kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi na inawapeleka katika mataifa mengine bila kuwasajili. Kwa njia hiyo maelfu ya wakimbizi wako njiani katika nchi za Ulaya - bila kusajiliwa kama wakimbizi. Wengi wanataka kuingia Uingereza lakini nchi hiyo inaifunga mipaka yake.

Tazama vidio 03:09