1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wazungumzia tatizo la "Panya Road"

20 Septemba 2022

Kumekuwepo na changamoto ya kuibuka kwa makundi ya uhalifu nchini Tanzania na hasa kwenye jiji kama Dar es Salaam. Kundi linalojulikana kama Panya Road limeibua kitisho kikubwa jijini humo na wakazi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na kundi hilo. Wasikilize kwenye video hii iliyaoandaliwa na Tatu Yahya.

https://p.dw.com/p/4H6Yn