1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waislamu waadhimisha Sikukuu ya Eid

15 Juni 2018

Waislamu kote duniani Ijumaa wamejumuika na wenzao kusheherekea sikukuu ya Eid ul fitr baada ya kufunga mwezi wa Ramadhani. Nchini Tanzania sala ya kitaifa ilisaliwa jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/2zcA4