1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa ADF wafanya mashambulizi dhidi ya raia

John Kanyunyu12 Novemba 2019

Wakati jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo likiwa kwenye operesheni kali dhidi ya makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo, kundi la waasi la ADF limefanya tena mauaji dhidi ya raia usiku wa kuamkia Jumanne, na pia kuwateka nyara watu kadhaa karibu sana na kambi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa, MONUSCO.

https://p.dw.com/p/3Sry0