1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waafrika wajaribu kutatua changamoto za lugha Wikipedia

Sylvia Mwehozi
9 Machi 2022

Kumekuwa na uhaba wa lugha za kiafrika kwenye mtandao wa Wikipedia, sasa uchangiaji unashuhudiwa kwenye mtandao huo. Katika makala ya Sema Uvume Sylvia Mwehozi anaangazia juhudi za waafrika katika kuchangia lugha zao kwenye mtandao huo.

https://p.dw.com/p/48EzO