Katika mjadala wetu wa Vijana Tugutuke mwandishi wa DW mjini Kigali, Sylivanus Karemera anazungumza na vijana mbalimbali kuhusu Amani na usalama wa Rwanda na jinsi gani vijana hao wanachangia katika kuulinda amani na kudumisha usalama. Fuatilia mjadala huo.