1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na Uongozi - MCI yanoa vijana chipukizi

3 Machi 2023

Sikiliza kuhusu vijana nchini Uganda walioanzisha mpango wa Media Challenge Initiative MCI ili kuwasaidia vijana wenzao kujitambua wanapoingia kwenye tasnia ya uandishi wa habari, ni makala iliyoandalia na mwandishi wa DW huko Kampala Emmanuel Lubega.

https://p.dw.com/p/4ODjg