1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana kuzianika mimba kwenye mitandao ya kijamii

Sylvia Mwehozi
7 Agosti 2019

Kwa karne nyingi kubeba mimba limekuwa ni suala nyeti, jambo la faraja, kwa sabbau unatarajia kupata mtoto, lakini pia lenye wasiwasi wa kiafya kwa kuwa linafuatana na changamoto chungu nzima na kwa tamaduni za waafrika ni suala la kificho. Hivi sasa umekuwa mtindo wa maisha wa vijana kuonyesha mimba kwenye mitandao ya kijamii. Ungana na Rashid Chilumba katika makala ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3NUMT