Vidio: Kupata fedha kwa kutumia ′Smartphone′ | Anza | DW | 30.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Vidio: Kupata fedha kwa kutumia 'Smartphone'

Mwenye simu aina ya 'Smartphone' ana uwezekano wa kujipatia fedha huku akiwa njiani. Iwe bustani ya mapumziko iliyo safi, piga tu picha na itume. Muajiriwa hapa anatuma habari akiwa mpitanjia.

Tazama vidio 02:17