1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwezeshaji wa wanawake; mjadala wa DW na Radio Maisha mjini Nairobi

26 Juni 2019

Washiriki wa mjadala ulioandaliwa na DW kwa ushirikiano na Redio Maisha mjini Nairobi, ulipokelewa vyema huku washiriki wengi wakiungama kuwa mwanamke ana nafasi kubwa katika jamii. Swali kuu linaloendelea kujadiliwa ni je wamewezeshwa kwa kiwango gani kupitia vyombo vya habari?

https://p.dw.com/p/3L8Zj