Utengenezaji wa rangi kwa kutumia vitu vya asili | Media Center | DW | 04.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Utengenezaji wa rangi kwa kutumia vitu vya asili

Felisberto Pereira anayefahamika pia kama Botojo ni mtu aliyejizolea sifa kutokana na ubunifu wake wa kutengeneza rangi kutokana na mchanganyiko wa vitu mbalimbali vya kiasili kama ndizi, korosho na miti ya maembe. Fuatilia ubunifu wake katika vidio yetu ya Afrika yasonga mbele.

Tazama vidio 03:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)