Utengenezaji wa meko kwa njia ya ufinyanzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 02.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Utengenezaji wa meko kwa njia ya ufinyanzi

Ufinyanzi wa vyungu ni sanaa ya zamani. Hata hivyo ufinyanzi bado unatumika na si kufinyanga vyungu tu bali pia kutengeneza meko au majiko ambayo yanahifadhi nishati. Mama kwa jina Marry Gilbert Shayo anaendeleza sanaa hiyo mjini Dar es Salaam Tanzania. Ahmad Juma anakufahamisha zaidi kwenye Kurunzi ya Wanawake.

Tazama vidio 02:57