1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata waugubika uteuzi wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi DRC

Saleh Mwanamilongo/MMT26 Oktoba 2021

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, vyama vya muungano wa upinzani wa rais wa zamani Joseph Kabila, chake Moise Katumbi, chake Martin Fayulu pamoja na mashirika ya kijamii vimeungana katika kuitisha maandamano ya kupinga uteuzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi nchini humo. Mengi zaidi na Saleh Mwanamilongo kwenye kipindi Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/42BHH