1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushawishi wa ziara ya Papa Francis kwa vijana wa Kongo

Josephine Karema
2 Februari 2023

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekutana na vijana mjini Kinshasa, ikiwa sehemu ya ziara yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tumezungumza na Abbe Jean Boscho Bahala, kasisi wa Kanisa Katoliki katika dayosisi ya Bukavu aliyehudhuria mkutano huo, na anaanza kuelezea ushawishi wa mkutano huo kwa vijana.

https://p.dw.com/p/4N1QJ