1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Usasa ulivyoathiri muziki wa taarab mjini Mombasa

Sylvia Mwehozi
13 Septemba 2018

Ungana naye Fathiya Omar ambaye katika makala ya Utamaduni na Sanaa anayezungumzia namna usasa ulivyoathiri muziki wa taarabu mjini Mombasa, ambako muziki huo ni mashuhuri. Muziki huo sasa umekuwa ukipigwa na ladha za kisasa na kuondoa uasili wake ambapo taarabu ilijulikana sana kwa watu wa mwambao kuwa muziki wa kistaarabu.

https://p.dw.com/p/34nSr