Usanifu majengo wenye ubunifu kutoka Afrika | Mada zote | DW | 25.09.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Usanifu majengo wenye ubunifu kutoka Afrika

Shule inayoelea badala ya tofali za zege: Miradi mingi mipya ya usanifu majengo barani Afrika haijengwi kwa kutumia chuma na saruji, bali udongo wa mfinyanzi na mbao. Baadhi ya miradi hii inaonyeshwa mjini Munich.