1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usalama waimarishwa Beni mapambano yakiendelea dhidi ya ADF

John Kanyunyu3 Septemba 2019

Rais Félix Tshisekedi aimarisha usalama katika mji wa Beni, huku operesheni ya kupambana na wanamgambo wa ADF ikiendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/3Ovne