1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Urusi inaonesha hali ipo sawa baada ya uasi wa wagner

26 Juni 2023

Urusi inajaribu kuonesha hali ni shwari baada ya uasi wa kundi la mamaluki la wagner. Kitisho hicho cha uasi kilidumu kwa saa kadhaa siku ya Jumamosi kiliongozwa na kiongozi wa kundi hilo Yevgeny Prigozhin. Tukio hilo linadaiwa kuyumbisha udhibiti wa madaraka wa rais wa Urusi Vladimir Putin.

https://p.dw.com/p/4T5qG
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio