Urithi uliopitwa na wakati: Ujamaa barani Afrika | Mada zote | DW | 13.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Urithi uliopitwa na wakati: Ujamaa barani Afrika

Uhusiano wa Afrika na nchi za ujamaa ni mada kuu katika maonesho ya Iwalewahaus, Bayreuth, ambapo maudhui ya ''Things Fall Apart'' yanaangalia hali ya sasa na enzi za Usovieti kuhusu mtangano kambi ya Mashariki.