1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uraibu wa kupenda kutumia simu ya mkononi ni hatari?

15 Novemba 2018

Huenda kuna watu ambao wamesahau kabisa majukumu mengine muhimu ya maisha kwa sababu ya kutumia muda mwingi kwenye simu ya mkononi. Je kupenda kutumia simu ni uraibu hatari? Wataalamu wanazungumziaje hilo hasa kwa kizazi cha 'iG'? Ni vipi unaitumia simu yako ya mkononi kukuletea manufaa badala ya kukudhuru? Fahamu mengi kupitia vidio hii.

https://p.dw.com/p/38HBx