1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani wapinga kura ya kubadilisha katiba Burundi

Saumu Ramadhani Yusuf17 Mei 2018

Kura ya maoni juu ya katiba ya Burundi imepingwa na wapinzani wanaomtaka Rais Nkurunzinza aondoke madarakani wakisema anataka kuibadili ili apate fursa ya kuendelea kubakia milele madarakani. Saum Mwasimba amezungumza na msemaji wa kundi la Muungano wa Vyama vya Upinzani-CINARED walioikimbia Burundi, Pancrase Chimpaye. Kwanza anazungumzia mtazamo wa kundi hilo kuhusu mchakato unaoendelea Burundi

https://p.dw.com/p/2xsFX