JamiiUnalifahamu tamasha maarufu la Oktoberfest?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSaumu Mwasimba03.10.20173 Oktoba 2017Tamasha la Oktoberfest au tamasha la kunywa bia ni mojawapo ya tamasha kubwa duniani ambalo hufanyika kila mwaka mjini Munich hapa Ujerumani ambalo huwavutia mamia ya watu duniani. Makala ya Utamaduni na Sanaa leo inalitazama tamasha hili kwa kina. https://p.dw.com/p/2l9AdMatangazo