1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unajua wanachopitia wanaosoma nje ya nchi?

Bruce Amani Alakonya / MMT21 Septemba 2020

Ninajua hata wewe mwenzangu hapo huwa na ndoto ya kwenda ughaibuni kujiongezea elimu ama utaalamu fulani. Lakini ukiwa na ndoto kama hii, je, unayajua madhila ama yale wanayokutana nao watu na hasa vijana wanaokwenda nje ya nchi kusoma? Wasikilize vijana hawa waliozungumza na Bruce Amani kwenye makala hii ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3imY9