Daktari bingwa Crispin Kahesa kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road nchini Tanzania anakupa elimu kuhusu saratani ya matiti, jinsi ya kuigundua na hatua za kuchukua. Jifunze na kisha umfahamishe mwenzio ili kujikinga? Una swali la ziada ? Tuandikie. #Kurunzi