1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa watu kuchanga damu

Zainab Aziz16 Juni 2021

Shirika la afya duniani WHO limeitangaza tarahe 14 Juni kuwa siku maalumu kwa ajili ya kusisitiza umuhimu wa watu kujitolea kutoa damu. Ni siku ya kuhamasisha ufahamu na haja ya kupatikana damu safi na salama ambayo manufaa yake ni kuokoa maisha. Ungana na Zainab Aziz kwenye makala ya Afya Yako ufahamu mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3v1xW