1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa lishe bora ili kukabiliana na virusi vya corona

Faiz Abdalla Musa11 Mei 2020

Kwenye makala ya Afya yako, tunaangazia juhudi za kuhakikisha watu wanapata lishe bora kama hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. Faiz Musa analiangazia suala hili haswa miongoni mwa wakaazi wa mitaa ya mabanda mjini Mombasa.

https://p.dw.com/p/3c0mS