Ulimwengu waadhimisha siku ya haki za binaadamu | Matukio ya Afrika | DW | 10.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Ulimwengu waadhimisha siku ya haki za binaadamu

Haki za binaadamu zimeendelea kukandamizwa Burundi kwa mauaji ya raia, kufungwa kwa wapinzani na kukandamizwa kwa vyombo vya habari, hali ambayo imesababisha maelfu ya watu kuikimbia nchi.

Sikiliza sauti 03:07

Sikiliza mahojiano ya Daniel Gakuba na mwandishi wa masuala ya haki za binaadamu Abbas Mwazumutimwa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com