1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulimwengu ungekuwaje bila Intaneti?

28 Desemba 2017

Katika Vijana Mubashara Sabini na Saba asilimia wiki hii tunakuuliza kijana, Je, Ulimwengu ungekuwaje kwa vijana iwapo hakungekuwa na Intaneti? Sikiliza kipindi kilichoandaliwa na Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/2q2L6