Ulimwengu ungekuaje bila ya mtandao wa intaneti | Masuala ya Jamii | DW | 03.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ulimwengu ungekuaje bila ya mtandao wa intaneti

Mtandao wa intaneti umekuwa sehemu kubwa ya maisha ya binaadamu. Siku hizi karibu kila kitu kinawezekana katika mtandao huo. Na kila binaadamu akiendelea kuutegemea mtandao wa intaneti ndiyo inazidi kuwa vigumu kuukosa. Lakini umewahi kujiuliza ulimwengu ungekuaje bila ya intaneti? Ungana na Jacob Safari kwa zaidi katika kipindi cha Vijana Mubashara 77%.

Sikiliza sauti 09:09